Kuhusu QFL
QFL Magodoro Dodoma
QFL
Quality Foam Ltd, Ni kampuni iliyoanzishwa mwaka 1992 kwa lengo la kuzalisha bidhaa za Magodoro.
Kwa zaidi ya miongo mitatu, Quality Foam Ltd imekuwa ikijishughulisha na utengenezaji wa Magodoro kwa njia za Kisasa. Uzalishaji wa bidhaa zake umendelea kuwa wa hali ya Juu na wa viwango vya kimataifa, hivyo basi kupelekea kupata fursa ya kusambaza magodoro kwenye hotel mbalimbali nchini.
Kwa sasa, Quality Foam Ltd inaongoza sehemu kubwa ya Soko la bidhaa za magodoro, kutokana na ubora na upatikanaji rahisi wa bidhaa zake kote nchini Pamoja na nchi Jirani.

Quality Foam Limited
Quality Foam Ltd, Ni kampuni iliyoanzishwa mwaka 1992 kwa lengo la kuzalisha bidhaa za Magodoro. Kwa zaidi ya miongo miwili, Quality Foam Ltd imekuwa ikijishughulisha na utengenezaji wa Magodoro kwa njia za Kisasa.